Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Thursday, July 15, 2010

WANAWAKE NA MAENDELEO WENGI WAJITOKEZA KUTANGAZA BLOG ZAO


hellow Mzee wa burudan,
natumaini ni mzima wa afya na unaendelea poa na ujenzi wa taifa.
Napenda kukufahamisha kwamba nimejiunga katika medani ya WANABLOGU tafadhali naomba unitandazie hapo kwenye blogn kwako ili wadau waweze nipokea kwa mikono miwili na kunipa ushirikiano..

Blogu yangu inajulikana kama www.mamapipiro.blogspot.com.
Natanguliza shukrani zangu za dhati.

Wenu
Dina Ismail

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...