Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Thursday, January 6, 2011

KOCHA WA ASHANTI BOXING RAJABU MHAMILA SUPER 'D' APEWA SAPOTI

Mdau wa Michezo Innocent Melleck (kushoto) akimkabidhi vifaa vya huduma ya kwanza kwa kocha wa timu ya ngumi ya Ashanti Rajabu Mhamila (Super 'D') timu hiyo inajiandaa na mashindano ya mkoa wa Ilala yatakayoanza 8.1.2011 wanaoshuudia ni Mweka hazina wa timu hiyo Emanuel Mgaya,Juma Mwalimu na kulia ni Norbet Sikauke

Mdau wa Michezo, Innocent Melleck (kushoto) akimkabidhi maji kocha wa timu ya ngumi ya Ashanti Rajabu Mhamila (Super 'D') timu hiyo inajiandaa na mashindano ya mkoa wa Ilala yatakayoanza 8.1.2011 wanaoshuudia ni Mweka hazina wa timu hiyo Emanuel Mgaya na Juma Mwalimu
Mdau wa Michezo Innocent Melleck (kushoto) akimkabidhi vifaa vya huduma ya kwanza kwa kocha wa timu ya ngumi ya Ashanti Rajabu Mhamila (Super 'D') timu hiyo inajiandaa na mashindano ya mkoa wa Ilala yatakayoanza 8.1.2011 wanaoshuudia ni Mweka hazina wa timu hiyo Emanuel Mgaya,Juma Mwalimu na kulia ni Norbet Sikauke

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...