Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Monday, April 4, 2011

mapacha watatu na 20 % waangusha show bab'kublwa usiku huu At Mzalendo Pub

20 % akiwa na Josee Mara wa Mapacha Watatu ndani ya Ukumbi wa Mzalendo Pub usiku huu.
Producer Man Water or Man Maji akizicharaza vilivyo Tumba usiku huu.
20 % akiambatana na kampani yake wakionyesha Tuzo walizozipata kutoka Kili Music Awards 2011.
Mapacha Watatu wakisebeneka usiku huu.
Wapacha Watatu wakiachia moja ya Vibao vyao vilivyotamba na kuhika hapa nchini.
.... Mikono juu,Mikono Juuuu....
http://othmanmichuzi.blogspot.com/

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...