Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Tuesday, April 12, 2011

NGUMI KUPIGWA KILA WIKI CCM AMANA ILALA KWA AJILI YA KUTAFUTA VIPAJI VIPYA


Bondia Mohamed Matumla (kulia) akimrushia ngumi Fredy Sayuni wakati wa mpambano wa kujipima nguvu uliofanyika Amana CCM juz
Bondia Mbwana Matumla (kulia) akipambana na Yohana Robart wakati wa mazoezi ya kujipima nguvu yaliyofanyika katika ukumbi wa Amana


Kocha Habibu KInyogoli akimwelekeza Bondia Yohana Robart JInsi ya kutupa Makonde

Habibu KInyogoli akitangaza mpambano huo wa kujipima nguvu utakaokuwa ukipigwa kila mwisho wa wiki katika ukumbi wa CCM Ilala Amana

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...