Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Sunday, May 22, 2011

Tamasha la wanamuziki walioshinda tuzo za kili 20011-MWANZA

Mwanamuzi bora wa Hip Hop John Makini ‘Joe Makini’ akitumbuiza wakati wa tamasha la wanamuzi walioshinda tuzo za Kilimanjaro Music 2011 lililofanyika mwishoni mwa wiki kwenye Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza na kudhamini na Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) kupitia bia yake ya Kilimanjaro
Mwanamuzi bora wa nyimbo za kizazi kipya bongo fleva, Twenty Percent akitumbuiza wakati wa tamasha la wanamuzi walioshinda tuzo za Kilimanjaro Music 2011 lililofanyika mwishoni mwa wiki kwenye Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza na kudhamini na Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) kupitia bia yake ya Kilimanjaro

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...