Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Wednesday, June 22, 2011

NAPE AKUTANA NA VIONGOZI WA CHAMA CHA SPD CHA UJERUMANI


KATIBU wa NEC, Itikadi na Uenezi CCM, Nape Nnauye (wapili kushoto), akizungumza na kiongozi kutoka chama cha upinzani cha SPD cha Ujerumani ambacho kinaongoza jiji la Humberg nchini humo, Wolfgang Schmidt, (wapili kulia), wakati kiongozi huyo na ujumbe wake walipomtembelea na kuwa na mazungumzo naye, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, mtaa wa Lumumba mjini Dar es Salaam. leo. Wapili kulia ni Stefan Herms kutoka chama hicho.
Schmidt akimpongeza Nape baada ya mazungumzo yao kumalizika
Nape akiwaonyesha viongozi hao, picha za Baraza la Mawaziri walioteuliwa na Rais Jakaya Kikwete baada ya CCM kushinda uchaguzi mkuu uliopita.
Nape na Schmidt wakiwa katika picha ya pamoja na ujumbe wa mgeni huyo, mbele ya Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Mtaa wa Lumumba, Dar es Salaam. (Na mpigapicha Maalum)
Nape akiwaonyesha viongozi hao, picha za Baraza la Mawaziri walioteuliwa na Rais Jakaya Kikwete baada ya CCM kushinda uchaguzi mkuu

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...