Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Friday, June 10, 2011

WADAU WA KILIMO WAKUTANA KUJADILI MWENDELEZO WA KILIMO KWANZA

Baadhi ya wadau wa kilimo kutoka mikoa mbalimbali nchini wakifatili mada wakati wa mkutano ulioandaliwa na Tanzania Agriculture Partnership (TAP) Dar es Salaam LEO kutoka kushoto ni Bw.Emile Malinza na Bw. George Mtenda na mmoja ya wadau wa kilimo



Baadhi ya wadau wa kilimo kutoka mikoa mbalimbali nchini wakifatili mada wakati wa mkutano ulioandaliwa na Tanzania Agriculture Partnership (TAP) Dar es Salaam LEO kutoka kushoto ni Bw. Graham Anderson,Bw.Emile Malinza na Bw. George Mtenda


WADAU WAKIFATILIA MKUTANO


MKUTANO UNAENDELEA

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...