Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Thursday, July 7, 2011

TIGO YAPIGA TAFU SEKTA YA ELIMU


Ofisa Uhusiano wa Kampuni ya Simu za mkononi ya Tigo, Jackson Mmbando (kulia) akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari, Dar es Salaam, kuhusu kampeni ya waliyoianzisha ya kuchangisha fedha kwa ajili ya maendeleo ya Sekta ya Elimu nchini. Tigo wametenga saa moja kesho Jumamosi kuanzia saa 3 mpaka saa 4 asubuhi, kukusanya fedha zote watakazopiga wateja kwa muda huo kuchangia sekta hiyo. Kushoto ni Meneja Habari, Elimu na Mawasiliano wa Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA), Sylivia Gunze

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...