Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Sunday, December 18, 2011

WADAU WA MCHEZO WA NGUMI WASHIRIKI MAZISHI YA BONDIA MOHAMEDI KIDEVU LEO

Baadhi ya waombelezaji wakjisghikilia mwisli wa aliyekuwa bondia Mohamedi Kidevu kwa ajili ya kwenda kuzika maeneo cha Chanika leo mchana.(Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com)



Bondia Said Mbelwa
Bondia Said belwa (kulia) akiwasiliana na wadau mbalimbali wa mchezo wa masumbwi kujua talatibu za mazishi kabla ya kwenda kuzika chanika leo kushoto ni bondia Japhert Kaseba
mwili wa marerhemu ukiwa umewekwa kwenye jeneza
Bondia Japhert Kaseba (kulia) akiwa amebeba jeneza lenye mwili wa aliyekua Bondia Moahedi Kidevu ambaye alifaliki kwa ajali ya gari juzio usiku maeneo ya Chanika.(Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com)

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...