Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Saturday, January 21, 2012

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AAGANA NA BALOZI BATILDA BURIAN ANAYEKWENDA KUANZA KAZI NCHINI KENYA




Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Balozi wa Tanzania nchini Kenya, Dkt. Batlda Burian, wakati Balozi huyo alipofika Ofisini kwa Makamu Ikulu Dar es Salaam leo, kwa ajili ya kumuaga rasmi kwenda kuanza kazi nchini Kenya baada ya uteuzi wake.


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Balozi wa Tanzania nchini Kenya, Dkt. Batlda Burian, wakati Balozi huyo alipofika Ofisini kwa Makamu Ikulu Dar es Salaam leo, kwa ajili ya kumuaga rasmi kwenda kuanza kazi nchini Kenya baada ya uteuzi wake.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...