Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Saturday, February 18, 2012

MSONDO NGOMA YAENDELEA NA BURUDANI KAMA KAWAIDA VIWANJA VYA SIGARA









Waimbaji wa bendi ya Msondo ngoma ambao ni Vijana wa Kazi mwanzo mwisho wakitoa burudani wakati wa bonanza lao linalokuwepo kila jumamosi katika viwanja vya sigara kutoka kushoto ni Hassan Moshi, Eddo Sanga na Juma Katundu.(Picha na www.burudan.blogspot.com


Baadhi ya wadau wa msondo ngoma pia ni waandishi wa habari wakiburudika na burudani zilizokua zikitolewa na bendi ya msondo ngoma baba ya muzikikutoka kushoto ni Victor Makinda,Khadija Kalili na Juma Kasesa.(Picha na www.burudan.blogspot.com)

Msanii wa bendi hiyo Romani Mngande akiimba


Mpiga Drams wa bendi ya msondo ngoma Sady Ally akiwajibika wakati wa bonanza la kila jumamosi katika viwanja vya sigara.(Picha na www.burudan.blogspot.com)


Ibrahimu Kandaya akipiga gita la bess

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...