Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Tuesday, March 13, 2012

MDAU WA MCHEZO WA MASUMBWI AZUNGUMZIA UPATIKANAJI WA BINGWA WA TAIFA




Tumeshuhudia vyama vyetu vya ngumi vikitoa mabingwa wao wa Taifa wa weight tofauti kimakosa, Bingwa wa Taifa hawezi kupatikana kwa points ktk round ya kwanza mpaka ya nne, unless by KO, rakini baadhi ya Mabingwa wanapatikana kwa points chini ya round nne za awali, huyo si bingwa halali wa Taifa.Tale of the tape:Inabidi watu watangaziwe tale of the tape ili watu wajue. Contents za Tale of the tape ni Age, Height, Arm length, Weight. Tunaambiwa kuwa ni ubingwa wa Taifa bila kuambiwa ni weight gani wanayopigania.Ring Record:Hakuna ring record za fight zote zinzopigwa ktk miaka hii, vyama vyetu havina record za maboxer wanaowapiganisha au wanafanya makusudi tu, na record za maboxer wanaweza kuzipata ktk www.boxrec.com ila wanapiganisha watu bila kutuambia sisi wadau record za boxers wote wanaogombania mikanda, Ring record contain – Won, Loss, Draw, KO and NC of each boxer to be announce before fight.Unified Rules:Hapa ndio kuna hilo tatizo ambalo nimeliona kuwa Bingwa wa taifa anapatikana chini ya round ya nne kwa points, kwa KO sawa hakuna ubishi anakuwa champion wetu kialali ila kwa points chini ya round hizo huyo si bingwa wa Taifa, hiyo fight inaamuliwa kama Technical draw. Sheria zinasema hivi:No 3 Knockdown RulesOnly Referee Can Stop the FightScore Cards At The End Of Round No. 4Can Not Be Saved By Bell In Any Round Tukianza na hiyo ya kwanza – No 3 knockdown rules, zamani boxer ukipigwa na kuanguka ukaesabiwa ktk round moja mara tatu basi automatical fight imekwisha na bigwa kutangazwa ila kwa sasa sheria hiyo is no longer applicable, mtu unaweza kuhesabiwa hata mara kumi ktk round moja na fight ikaendelea.Only referee can stop the fight- hii inajieleza ni referee pekee mwenye right ya kusimamisha fight na kumpa ushindi anaestaili. Ili linafuatwa hakuna shaka, boxer akizidiwa na kunaweza kuatalisha afya yake tumeona referee’s wetu wakisimamisha fight na wakitoa ushindi.Score card at the end of round no. 4 – Hapa ndio kuna madudu tupu, round no, 1 mpaka round no. 4 hapa uwezi kutoa mshindi kwa points ikitokea boxers wamegongana vichwa au any Incidental hiyo fight itaamuliwa Technical draw kuanzia round no. 5 hapo likitokea la kutokea ndio score cards zinapotumika. PST ntawatolea mfano mmoja, mwaka 2010 DDC Magomeni Kondoa ulikuwa ubingwa wao wa Taifa Bantam weight kama sikosei au superflyweight, boxers waligongana vichwa round ya 3, PST wakatumia score card za round 2 kumtangaza bingwa wao wa Taifa, baada ya kutoa Technical draw, huyo hakuwa bingwa wetu halali wa Taifa. Pili, mwaka 2007 Dimond Jubelee hall Hussein Pazi vs Deo Njiku, superfetherweight, waligongana vichwa round ya 2,Hussein Pazi alipasuka vibaya sana juu ya jicho, Referee Mlundwa akafuata sheria ya Only referee can stop the fight akasimamisha fight, wakatumia score card kutangaza mshindi akawa Deo Njiku badala ya kuwatoa Technical Draw, Ingawa baadae Deo Njuku alinyang’anywa mkanda kwa kuwa alizidi weight. Can not be saved by bell in any round – hapo zamani sheria mtu akizidiwa kengere ( bell 0 inaweza kugongwa kumuokoa asiendelee kupata kipigo waende for a break, ila kwa sheria za sasa kituhicho hakuna, PST tena wanafanya madudu, ntatoa mifano 2 ktk fight zake tena za ubingwa wa dunia Venue ; Dimond Jubelee, 2011Promoter : BawazirSuction board : WCTLocal suction by : PSTTitle : Intercontinental flyweight championshipBoxers : Juma Fundi vs Fadhili MagiaJuma Fundi alipigwa punch kali akaenda chini, Referee Mlundwa akaanza kuhesabu ilipofika 8, Juma fundi akawa bado fahamu azijarudi, Mlundwa akaendelea kuhesabu mpaka 10 still Juma Fundi Fahamu zilikuwa bado azijarudi, kukawa na delay karibu ya 1 minutes akiongea nae, ilikuwa ni clean KO Juma Fundi kapigwa, ila delay za Mlundwa na Yule Juma Fundi ni boxer wake Mlundwa Kengere ikagongwa Juma Fundi akanusulika, na hiyo punch ilimchanganya akashidwa kucontrol game, hata hivyo alipigwa kwa points.Same date, Main Card, Mbwana Matumla vs Francis Miyeyusho, World Title Bantam weight, Referee Antony Luta, Mbwana alipigwa punch kali akakaa akalewa delay ya counting na kengere ikamuokoa Mbwana na kuanzia hapo Mbwana akashidwa kulimiliki pambana japo kuwa alianza vizuri sana, na alimkalisha Francis ila ile punch ndio ilimchanganya hakashidwa kucontrol fight.NB: Mabingwa wetu wa Taifa wanapatikana ktk njia ambazo ni kinyume na sheria, vyama vyetu vya ngumi vinatakiwa kujipanga na kuwa train Referee’s wake, ikiwezekana waiombe serekali iwaitie mkufunzi wa kimataifa aje kuwapa proper training na wawe issued na certificate otherwise itakuwa tunapata mabingwa ambao awana vigezo. Na vyama vyetu vya ngumi vi accept hizi challenge na wazifanyie kazi, Otherwise ipo siku tutawashtaki mahakamani. MdauNawakilisha.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...