Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Friday, March 16, 2012

TENGA AZUNGUMZIA VURUGU ZA MASHABIKI WA SOKA UWANJA WA TAIFA

Rais wa TFF Bw Leodgar Tenga akiongea na waandishi wa habari leo makao makuu ya Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania TFF jijini Dar es salaam kuhusiana na vurugu zilizojitokeza katika uwanja wa Taifa nakusababisha uharibifu wa viti katika uwanja huo, Tenga ametoa onyo kali kwa mashabiki kuhusiana na vurugu hizo na kuwaahidi wadau wa michezo kuwa hakuna vurugu zingine zitakazotokea tena. Kushoto ni Msemaji wa Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania (TFF) Bw. Boniface Wambura (PICHA NA PHILEMON SOLOMON WA FULLSHANGWE)
Waandishi wa habari wakimsikiliza rais wa TFF Leodger Tenga wakati wakizungumzia vurugu za uwanja wa Taifa leo.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...