Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Friday, March 16, 2012

WANAFUNZI WA UDOM WAFANYA ZIARA KATIKA SHULE YA SEKONDARI YA VIWANDANI ILIYOPO DODOMA MJINI NA KUKABIDHI MSAADA WA VIFAA VYA USAFI LEO

Mmoja wa Wanafunzi Wa Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOM) akishusha Baadhi ya vifaa vya kufanyia usafi wakati wanafunzi wa UDOM walipowasili Shule ya Sekondari ya Viwandani iliyopo Manispaa ya Dodoma Mjini mchana wa leo.Picha Zote na Josephat Lukaza wa Lukaza Blog - http://josephatlukaza.blogspot.com
Picha hapo juu ni Mwanafunzi wa UDOM Josephat Lukaza akitoa Maelezo jinsi ya matumizi sahihi ya vifaa vya kufanyia na kutunzia uchafu kwa wanafunzi wa klabu ya mazingira ya shule ya sekondari ya viwandani iliyopo Dodoma mjini
Mwalimu wa Klabu ya Mazingira ya Shule ya Sekondari ya Viwandani Bi Ester Bahati akitoa shukrani za dhati kwa wanafunzi wa UDOM waliotembelea Shule hiyo na Kutoa Misaada ya Vifaa vya Kufanyia Usafi leo Mchana
Baadhi ya Wanafunzi wa Chuo Kikuu Cha Dodoma wakiwa makini kusikiliza Wanafunzi wa Klabu ya Mazingira Wakichangia Mada mbalimbali kuhusu Umuhimu wa Kutunza mazingira wakati walipotembelewa na Wanafunzi kutoka Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOM) leo mchana
Wanafunzi wa Klabu ya Mazingira ya Shule ya Sekondari ya Viwandani iliyopo mjini Dodoma wakisikiliza kwa makini baadhi ya maelezo kutoka Kwa Mmoja wa Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) mchana wa leo.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...