Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Friday, April 27, 2012

DKT. MARY NAGU AFUNGUA KONGAMANO LA MAKATIBU MUHTASI JIJINI MWANZA LEO


Mgeni Rasmi katika Kongamano la Makatibu Muhtasi nchini linalofanyika leo kwenue Ukumbi wa Hoteli ya Malaika Jijini Mwanza,Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu - Uwekezaji na Uwezeshaji Dk. Mary Nagu (katikati) akiongozana na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza,Eng.Evarist Ndikilo pamoja na wadau wengine wa Kongamano hilo wakati akiwasili.
Mwenyekiti wa Chama cha Makatibu Muhtasi Tanzania (TAPSEA),Pili Penda (kulia) akimpokea Mgeni Rasmi katika Kongamano la Makatibu Muhtasi nchini linalofanyika leo kwenue Ukumbi wa Hoteli ya Malaika Jijini Mwanza,Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu - Uwekezaji na Uwezeshaji Dk. Mary Nagu.
Ephraim Kibonde ambaye ndie Mc wa Kongamano hili akifungua rasmi
Mwenyekiti wa Chama cha Makatibu Muhtasi Tanzania (TAPSEA),Pili Penda akitoa maelezo mafupi ya Kongamano hilo kwa Mgeni rasmi ambaye ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu - Uwekezaji na Uwezeshaji Dk. Mary Nagu wakati wa ufunguzi uliofanyika leo kwenye ukumbi wa Mikutano wa Hoteli ya Malaika Beach Resort,Jijini Mwanza.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu - Uwekezaji na Uwezeshaji Dk. Mary Nagu akiwahutubia wajumbe wa mkutano huo.
 Wajumbe mbalimbali wa mkutano huo wakimsikiliza Waziri Dk. Mary Nagu.
 Wajumbe mbalimbali wa mkutano huo wakimsikiliza Waziri Dk. Mary Nagu.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu - Uwekezaji na Uwezeshaji Dk. Mary Nagu akiionyesha tuzo ya heshima aliyokabidhiwa na Mwenyekiti wa Chama cha Makatibu Muhtasi Tanzania (TAPSEA),Pili Penda
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu - Uwekezaji na Uwezeshaji Dk. Mary Nagu akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa mkutano huo.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...