Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Wednesday, April 18, 2012

KATIBA MPYA YAWAKOROGA WAZANZIBARI, Hawataki kusikia mchakato unaoendelea, Wanataka waulizwe kwanza muungano halafu ndo katiba.


Wafuasi wa Taasisi ya kidini ya Uamsho wakinyoosha mikono kukubaliana na kauli za viongozi wao kwamba zanzibar inakatiba yake na hawataki katiba ya muungano badala yake waulizwe kwanza kama wanautaka muungano au hawautaki?

Sheikh Khalid Hamdani akiwahutubia wafuasi wa kundi hilo la kidini ambalo halijipambanui kwenye mrengo wowote wa kisiasa lakini wanakutana kwenye umoja wakiimani ya dini nakudai hawatakubali zoezi lolote la kura ya maoni visiwani humo vyenginevyo hata damu zawatu zitamwagika kama watawapuuza.

Mlinzi wa kikundi cha Uamsho akilinda mkutano huku akiwa amevaa fulana yenye maandishi “Wazanzibari Katiba tunayo, kilichobaki ni kuvunja muungano Zanzibar huru inawezekana”. Mkutano huo ulifanyika mwisho wa wiki katika uwanja wa Mbweni mkabala na jingo la Baraza la Wawakilishi mjini Zanzibar.

jisomee mwenyewe utajua yaliyomo mioyoni mwao.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...