Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Tuesday, April 17, 2012

WAZIRI MKUU ATEMBELEA KIWANDA CHA ARUSHA A TO Z, KIWANDA CHA MBOLEA MINJINGU NA KUFUNGUA MKUTANO WA WADHIBITI WA HESABU ZA SERIKALI


Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua utengenezaji vyandarua na nguo katika kiwanda cha A to Z cha Arusha Aprili 15,2012. Kushoto ni Mtendaji Mkuu wa kwanda hicho, Anuj Shah. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua mbolea iliyorundikana kwenye maghala ya kiwanda cha mbolea cha Minjingu Mkoani Manyara wakati alipotembelea kiwanda hicho Aprili 16, 2012. Kiwanda hicho kimesimamisha uzalishaji baada ya mbolea yake kukosa soko. Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa kiwanda hicho, Tosky Hans. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na washiriki wa Mkutano Mkuu wa Mwaka wa wa Wakaguzi wa Hesabu za Serikali wa Nchi zinazoongea kiingereza barani Afrika kwenye hoteli ya Impala, Arusha Aprili 16, 2012. Kulia kwake ni Mdhibiti na Mkaguzi mkuu wa Hesabu za Serikali, Ludovick Utouh. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na washiriki wa Mkutano Mkuu wa Mwaka wa wa Wakaguzi wa Hesabu za Serikali wa Nchi zinazoongea kiingereza barani Afrika kwenye hoteli ya Impala, Arusha Aprili 16, 2012. Kulia kwake ni Mdhibiti na Mkaguzi mkuu wa Hesabu za Serikali, Ludovick Utouh. na kulia ni Naibu Waziri wa Fedha, Gregory Teu. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...