Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Tuesday, July 24, 2012

KUTOKANA NA AJALI YA KUZAMA KWA BOTI YA MV SKAGIT WAZIRI AJIUZULU ZANZIBAR


Waziri wa Miundmbinu na Mawasiliano wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (CUF) Hamad Masoud, amejiuzulu kufuatia ajali ya boti ya MV Skagit, iliyotokea zanzibar hivi karibuni na kusababisha watu kadhaa kupoteza maisha. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la mapinduzi ameridhiakujiuzulu kwa Waziri huyo na amemteua Rashid Seif Selemani (Ziwani CUF) kushika nafasi hiyo. Huku makamo wapili wa Rais wa Serikali hiyo Balozi Seif Ally Iddi akisema uamuzi wakujiuzulu Hamad ni wake binafsi.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...