Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Thursday, July 26, 2012

WASHIRIKI WA MAFUNZO YA UPIGAJI PICHA EAC-GIZ



Washiriki wa warsha ya wapiga picha kutoka nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki wakiwa katika picha ya pamoja na Naibu Katibu Mkuu wa EAC anayeshughulikia Shirikisho la Kisiasa Dkt. Julius Rotich (aliyeketi wa pili kushoto) jijini Arusha jana. Kushoto kwake ni Kaimu mkuu wa mpango wa EAC-GIZ (kulia) ni Mkuu wa Idara ya Habari EAC Owora Othieno. Kulia kabisa aliyesimama ni mratibu wa mafunzo wa EAC Sukhdev Chhatbar.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...