Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Thursday, March 21, 2013

Rais Dkt.Jakaya Kikwete amtembelea Mzee Kingunge Ngombale Mwiru Hospitali ya Taifa Muhimbili(Improved Caption)


Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na Mkewe Mama Salma Kikwete wakimjulia hali Mzee Kingunge Ngombale Mwiru aliyepumzishwa katika chumba cha dharura katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili leo.Mzee Kingunge alikimbizwa Hospitalini hapo baada ya kujisikia vibaya.jopo la madaktari bingwa linamfanyia uchunguzi Mzee Kingunga ili kubaini ugonjwa unaomsumbua. Aliyesimama Nyuma ya Rais ni mke wa Mzee Kingunge na kushoto ni mtoto wa Mzee Kingunge Bwana Kinjekitile. (Picha na Freddy Maro)

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...