Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Sunday, April 28, 2013

PINDA AFUNGUA MAONESHO YA AFYA NA USALAMA DUNIANI


 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitazama onyesho la uokoaji kutoka mwokoaji wa mgodi  wa North Mara Gold Mine katika maonyesho ya kuadhimish Siku ya Afya na Usalama Duniani yaliyofanyiaka kwenye uwanaj wa Shikh Amri Abeid jijini Arisha, Aprili 28,2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitazama vifaa vya uokoaji katika banda la maonesho ya kuadhimisha  siku ya Afya na Usalama Duniani kwenye  uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha Aprili 28,2013. (Picha na Ofisi yaWaziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akipokea Tuzo

ya Utoaji huduma bora ya   Afya na Usalama kazini

kwa niaba ya  Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa

na Serikali za Mitaa kutoka kw Waziri wa Kazi na

Ajira, Gaundentia Kabaka katika Kilele cha

Maadhimisho ya siku ya Afya na Usalama Duaniani

kwenye uwanja wa Shikh Amri Abeid , Arusha Aprili

28, 20113.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...