Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Thursday, May 9, 2013

MKUU WA MKOA WA MBEYA APOKEA TUZO ZA SAFARI LAGER KWA SHANGWE

 Meneja wa Bia ya Safari Lager, Oscar Shelukindo akimkabidhi rasmi Mkuu wa Mkoa wa Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Abbas Kandoro (kulia) Tuzo za Bia ya Safari Lager ilizoshinda katika mashindano ya Bia Afrika yaliyofanyika nchini Ghana. Makabidhiano hayo yalifanyika wakati wa ziara maalum ya Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) kuonesha Tuzo ilizoshinda Bia yake ya Safari Lager ambapo jana walikuwa Mkoani Mbeya. 

 Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Abbas Kandoro akizungumza na wananchi wa Mji wa Mbeya wakati upokeaji Tuzo za Bia ya Safari Lager mkoani kwake jana ikiwa ni ziara maalum ya Tuzo hizo kusherehekea pamoja na Watanzania Ushindi wa Bia hiyo ya Kitanzania barani Afrika.Ziara ya Tuzo za Bia ya Safari Lager inayozalishwa na Kampuni ya Bia Tanzania (TBL)  ilikuwa Mkoani Mbeya. Kushot ni Meneja wa Bia ya Safari Lager, Oscar Shelukindo.
 Wakazi wa Mji wa Mbeya wakiwa na furaha na tuzo za Bia ya Safari Lager wakati wa ziara maalum ya Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) kuonesha Tuzo ilizoshinda Bia ya Safari Lager ambapo jana walikuwa Mkoani Mbeya.
 Baadhi ya warembo wanao pamba shamra shamra za ziara ya Tuzo za bia ya Safari Lager, wakiwa wamepozi na wananchi wakati wa ziara maalum ya Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) kuonesha Tuzo ilizoshinda Bia ya Safari Lager ambapo jana walikuwa Mkoani Mbeya. 
Wakazi wa Mji wa Mmbeya wakiwa wamefurika kwa wingi wakishuhudia Burudani na Tuzo mbili zilizotwaliwa na Bia ya Safari Lager inayozalishwa na Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) katika mashindano ya Bia Afrika yaliyofanyika Nchini Ghana.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...