Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Saturday, July 13, 2013

WAKAZI WA TABORA WACHANGAMKIA MCHEZO WA POOL

Mchezaji wa timu ya Texas pool klab ya Mkoa wa Tabora Omari Azizi akijitaalisha kupiga mpira wakati wa mazoezi ya klab yao iliyofanyika mkoani hapo jana picha na SUPER D

Mchezaji wa timu ya Texas pool klab ya Mkoa wa Tabora Salum Kazuga akijitaalisha kupiga mpira wakati wa mazoezi ya klab yao iliyofanyika mkoani hapo jana picha na SUPER D

Mchezaji wa timu ya Texas pool klab ya Mkoa wa Tabora Shabani Ramadhani akijitaalisha kupiga mpira wakati wa mazoezi ya klab yao iliyofanyika mkoani hapo jana picha na SUPER D

Mchezaji wa timu ya Texas pool klab ya Mkoa wa Tabora Hassani Sasi akijitaalisha kupiga mpira wakati wa mazoezi ya klab yao iliyofanyika mkoani hapo jana picha na SUPER D

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...