Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Sunday, March 23, 2014

MABONDIA JUMA FUNDI NA BAINA MAZOLA WASAINI KUTWANGANA MEI 11 MABIBO MWISHO


Bondia Juma Fundi kushoto akitinishiana misuli na Baina Mazola baada ya kusaini mkataba wa kupigana Mei 11 katika ukumbi wa DID HALL Mabibo Mwisho picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Promota wa mchezo wa masumbwi Mahiyo Mkumbi kulia akiwaonesha mkataba mabondia pamioja na viongozi wa masumbwi kabla ya kutia saini mkataba huo kwa ajili ya mpambano wa mei 11

Bondia Juma Fundi akitia saini mkataba wa kupambana na Baina Mazola mei 11 katika ukumbi wa DID Mabibo mwisho

Promota wa mchezo wa masumbwi Mahiyo Mkumbi katikati akiwainua juu mabondia kutambulisha mpambano wao utakaofanyika mei 11 mabibo mwisho picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...