Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Sunday, September 14, 2014

Makamu wa Rais Dkt. Mohammed Gharib Bilalawaaga Mahujaji jijini Dar es salaam

 Makamu wa Rais Dkt Mohammed Gharib Bilal akisalimiana na Viongozi wa Taasisi ya Shirikisho ya kamati za Hijja alipowasili Viwanja vya Karimjee Dar es salaam leo
 Baadhi ya Mahujjaji wanaotarajiwa kwenda kutekeleza ibada ya Hijja huko Makka, wakimsikiliza Makamu wa Rais Dkt. Mohammed Gharib Bilal alipokua akiwahutubia katika viwanja vya Karimjee Dar es salaam leo

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal akiwahutubia baadhi ya Mahujjaji wanaotarajiwa  kwenda kutekeleza Ibara ya Hijja huko Makka, katika viwanja vya Karimjee Dar es salaam

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...