Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Wednesday, October 22, 2014

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AKUTANA NA RAIS WA MMI BINGWA WA MASUALA YA UTAWALA NA UONGOZI KUTOKA BAHAMAS, DKT. MYLES MUNROE


 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na kumkaribisha, Rais wa MMI Bingwa wa Masuala ya Utawala na Uongozi kutoka Bahamas, Dkt. Myles Munroe, na ujumbe wake wakati walipofika ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, juzi Oktoba 20, 2014 akiwa na ujumbe wake na kufanya mazungumzo.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Rais wa MMI Bingwa wa Masuala ya Utawala na Uongozi kutoka Bahamas, Dkt. Myles Munroe, wakati alipofika ofosini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, juzi Oktoba 20, na kufanya mazungumzo.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na Rais wa MMI Bingwa wa Masuala ya Utawala na Uongozi kutoka Bahamas, Dkt. Myles Munroe, na ujumbe wake baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akigana na Rais wa MMI Bingwa wa Masuala ya Utawala na Uongozi kutoka Bahamas, Dkt. Myles Munroe, baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...