Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Friday, March 4, 2016

NGUMI KUPIGWA MARCH 12 MBAGALA ZAKHEM UKUMBI WA VIGAE CLASSC

Na Mwandishi Wetu
MABONDIA Ibrahimu Maokola wa Dar es salaam na Joseph Sinkala wa Mbeya watakutana katik mpambano wa kugombania ubingwa wa taifa wa kg 72 utakaopigwa katika ukumbi wa Vigae Classc uliopo Mbagala Zakhem jijini 

Mpambano uho wa raundi kumi za ubingwa wa TPBC unaoshikiliwa na Maokola umeandaliwa kwa ajii ya kutetea mkanda wake akiongea mpambano uho 

Rais wa Kamisheni ya Ngumi za Kulipwa Tanzania (TPBC), Chaurembo Palasa amesema mpambano uho umeandaliwa kwa ajili ya kuendeleza mchezo wa masumbwi nchini 

mbali na mpambao uho siku hiyo kutakuwa na mapambano mengine ya ngumi yatakayo wakutasnisha mabondia mbalimbali 

Bondia Iddi Mnyeke atakumbana na Mohamedi Kshinde na Karage Suba atavaana na Pius Kazaula wakati Selemani Galile ataoneshana umwamba na Ambokile Chusa

Katika mpambano uho kutakuwa na uhuzwaji wa vifaa vya mchezo wa ngumi pamoja na DVD za mafunzo ya mchezo wa ngumi kwa ajili ya kutambua sheria mbalimbali za mchezo zitakazokuwa zikitolewa bule kwa mabondia watakaofanya vizuri siku hiyo na vingine kuuzwa kwa galama nafuu

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...